Ecom 0 → Mauzo Jiunge sasa

Jifunze E-commerce kuanzia 0 hadi mauzo yako ya kwanza

Kozi kamili kwa Kiswahili: chagua bidhaa, fungua duka lako la mtandaoni, weka matangazo, na uza Tanzania nzima kwa Cash on Delivery.

Jiunge na kozi Bei: TZS 150,000 · mara moja tu
Ghala lililojaa kartoni, timu ikifanya kazi
📦
Mzigo halisi, kila sikuGhala letu Tanzania

Utajifunza nini?

1Bidhaa inayouza
2Website yako
3Video za matangazo
4Facebook Ads
5Hesabu ya faida
6Oda na delivery
7China → Tanzania
8Kukuza biashara

Si maneno tu: hii ni kazi halisi

Kartoni zinaingia, oda zinatoka. Tunakufundisha mfumo ule ule tunaoutumia.

Kufunga oda kwenye kartoni
Kufunga oda
Kukagua mzigo
Kukagua mzigo
Kushusha kartoni kutoka kwenye lori
Mzigo unafika

Pata kozi kwa hatua 2

1Lipa TZS 150,000 kwa M-Pesa

Namba ya M-Pesa 0763 788 774
Fungua M-Pesa

2Tuma Transaction ID

Baada ya hapo: tunathibitisha malipo na kukutumia link ya kozi kwenye WhatsApp. Una swali? Tuandikie.